Utofauti wa tamaduni zawa Anzacs wa Australia

Wanajeshi wastaafu washiriki katika matukio ya siku ya Anzac Melbourne, Jumatatu, 25 Aprili 2022.

Wanajeshi wastaafu washiriki katika matukio ya siku ya Anzac Melbourne, Jumatatu, 25 Aprili 2022. Source: AAP

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Published

By Amy Chien-Yu Wang
Presented by Gode Migerano
Source: SBS

Share this with family and friends


Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.


Anzac Day imekuwa ishara ya utambulisho wakitaifa wa Australia.

Maana ya Anzacs ni kikosi cha wanajeshi wa Australia na New Zealand, kikosi hicho kinajumuisha wanajeshi wengi wakike na wakiume waki Aboroginal pamoja na wanajeshi kutoka tamaduni mbalimbali.

Kwa taarifa ya ziada kuhusu tamaduni za Anzac Day za Australia, tembelea tovuti ya kumbukumbu ya vita ya Australia: https://www.awm.gov.au


Share