Vincent Tshaka ni mcheshi mwenye asili ya Kenya na yuko katika mstari wa mbele, wa wacheshi wanao endelea kupata umaarufu nakufanya vizuri katika tasnia hiyo yenye ushindani mkubwa.
Katika mahojiano na SBS Swahili, alifunguka kuhusu tamasha anayo andaa itakayo wajumuisha wacheshi kutoka tamaduni mbali mbali.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.