Hatua hiyo ni muhimu kuelekea kuweka serikali miezi mitano baada ya uchaguzi wa rais.
Mandishi wetu Jason Nyakundi ame andaa taarifa maalum kuhusu uchaguzi huo pamoja na maswala mengine muhimu kutoka Afrika.
Bonyeza hapo juu kwa taarima kamili.
Democratic Republic of Congo politician Vital Kamerhe. Source: AFP
SBS World News