Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa $33 katika mishahara yao kila wiki

TONY BURKE MINIMUM WAGE PRESSER

Australian Employment Minister Tony Burke speaks to the media during a press conference at Parliament House in Canberra, Friday, March 31, 2023. Source: AAP / LUKAS COCH/AAPIMAGE

Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.


Tume ya Haki ya kazi iliamua kuongeza mishahara ya tuzo chini ya mfumuko wa bei, ambayo ilikuwa kwa asilimia 4.1 katika mwisho wa robo ya Aprili.

Kwa ma milioni yawa Australia, mishahara yao huwa haibadilishwi na bosi wao, uamuzi huo hufanywa na Tume ya Haki ya Kazi. Mapitio ya kila mwaka ya mishahara hubadilisha mishahara ya tuzo, ambayo husimamia kiwango cha chini cha mishahara kwa kila kazi na sekta.

Kuanzia Julai 1k, mishahara ya tuzo na kima cha chini cha mishahara itaongezeka kwa asilimia 3.75

Share