Viongozi hao wame ongeza timu ya wapatanishi, kufuatia kikao chao cha Jumatatu ya wiki hii.
Katika kikao chao, mbali na wapatanishi wa awali, rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, waliwaongeza viongozi wengine katika timu ya upatanishi akiwemo rais wa zamani wa Afrika Kusini, Kgalema Motlante, rais wa zamani wa jamuhuri ya Afrika ya Kati, Catherine Samba Panza.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.