Wiki Yawakimbizi: Fursa yakupata uzoefu nakusherehekea utofauti wa jamii zawakimbizi

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa baraza lawakimbizi la Australia Adama Kamara, akiwa pamoja na baadhi yamabalozi wa Wiki Yawakimbizi 2022

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa baraza lawakimbizi la Australia (RCOA) Adama Kamara, akiwa pamoja na baadhi yamabalozi wa Wiki Yawakimbizi 2022 Source: RCOA

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Published

By Roza Germian
Presented by Gode Migerano
Source: SBS

Share this with family and friends


Kila mwaka ma milioni ya watu hulazimishwa kukimbia nyumba zao kwa ajili ya usalama.


Wiki ya wakimbizi, ni kilele cha shughuli kila mwaka nchini Australia, kuelimisha umma kuhusu wakimbii pamoja nakusherehekea michango chanya inayo tolewa na wakimbizi katika jamii ya Australia.

Mandhari ya Wiki ya Wakimbizi ya 2022 ni Uponyaji.


Share