Baadhi ya wasanii hao wame pata umaarufu mkubwa, wakati wengine huvuma ghafla na nyota zao kuzimika ghafla pia.
Wasanii Tipsy Gee, Ssaru na Sean MMG kutoka Kenya, walitembelea studio za SBS Swahili hivi karibuni ambako wali funguka kuhusu walivyo ingia katika sekta hiyo, mafanikio pamoja na changamoto wanazo kabiliana nazo kuanzia nyumbani hadi katika soko la muziki.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.