Iwapo ni matukio yakibiashara, sherehe ya watoto, kuchoma nyama au hata kuchangia chakula cha jioni na marafiki, wengi wetu tuta hudhuria angalau sherehe moja kila mwaka.
Na wakati wa Australia kwa ujumla wanajulikana kwa utamaduni wao wa starehe, kila tukio lina sheria zake binafsi ambazo hazitajiki pamoja na matarajio.
Ni kawaida kumtembelea mtu kwa tukio maalum katika tamaduni mbali mbali, kila tamaduni huwa na mambo yake ya kipekee.