Vinara wa mseto huo Dkt William S Rutto na Raila Odinga, walitia saini makubaliano ya ushirikiano katika uongozi wa nchi hiyo ndani ya ukumbi wa KICC.
SBS Swahili ilizungumza na Bw Matt Gitau, mgombea mtarajiwa katika uchaguzi mkuu ujao wa 2027 nchini Kenya. Katika mazungumzo hayo alifunguka kuhusu baadhi ya maswala yauongozi ambayo yeye na wananchi wenzake wanataka yafanyiwe kazi.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.