Future "tunataka serikali ya Australia isaidie kuleta suluhu ya amani DRC"

Mwenyekiti wa Jumuiya yawa Australia wenye asili ya DR Congo Bw Fidele Future (katikati) akiwa na mbunge mbele ya bunge la taifa mjini Canberra, Australia.jpg

Wa Australia wenye asili ya DR Congo, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuandamana dhidi ya vita vinavyo endelea mashariki mwa DR Congo.


Fiedel Future ni mwenyekiti wa jumuiya yawa Australia, wenye asili ya DR Congo wanao ishi Queensland.

Katika mazungumzo na SBS Swahili, alifunguka kuhusu lengo laku andaa maandamano hayo pamoja na matarajio yake kwa harakati hiyo.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share