Mark "karibuni Kusini Australia tusherehekee utamaduni wetu"

Bango la sherehe ya Jumuiya ya Kitwek Kusini Australia.jpg

Wa Kenya wanao ishi Australia, wana elekea mjini Adelaide, Kusini Australia kuhudhuria tamasha ya kila mwaka inayo andaliwa na jumuiya ya Kitwek jimboni humo.


Bw Mark Tony ni mmoja wa waandalizi wa tamasha hiyo, katika mahojiano na SBS Swahili alifunguka kuhusu umuhimu na lengo la tamasha hiyo kwa wanajumuiya wenza.

Bw Mark ali zungumzia pia matukio kadhaa ambayo, watakao hudhuria tamasha hiyo wanastahili tazamia.

Bonyeza hapo juu, kwa mahojiano kamili.

Share